Kituo cha Matibabu na Huduma ya Kwanza cha Shanghai chahakikisha matibabu ya umma wakati wa maambukizi ya Korona (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2022
Kituo cha Matibabu na Huduma ya Kwanza cha Shanghai chahakikisha matibabu ya umma wakati wa maambukizi ya Korona
Mhudumu akipiga simu kupeleka magari ya kubebea wagonjwa kwenye kituo cha matibabu na huduma ya kwanza cha eneo la Minhang, Shanghai, Mashariki mwa China, Aprili 23, 2022.

Kituo cha matibabu na huduma ya kwanza cha eneo la Minhang la Shanghai nchini China kimenunua kwa dharura magari ya kubebea wagonjwa, na kimepeleka madaktari wengi zaidi ili kuhakikisha huduma ya matibabu ya dharura kwa umma ya mji huo wakati wa kuenea tena kwa maambukizi ya virusi vya korona. (Xinhua/Zhang Jiansong)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha