

Lugha Nyingine
Kituo cha Matibabu na Huduma ya Kwanza cha Shanghai chahakikisha matibabu ya umma wakati wa maambukizi ya Korona (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2022
![]() |
Wahudumu wa afya wa kituo cha matibabu na huduma ya kwanza cha eneo la Minhang la Shanghai wakimbeba mgonjwa kupanda gari la kubebea wagonjwa huko Shanghai, Mashariki mwa China, Aprili 23, 2022. |
Kituo cha matibabu na huduma ya kwanza cha eneo la Minhang la Shanghai nchini China kimenunua kwa dharura magari ya kubebea wagonjwa, na kimepeleka madaktari wengi zaidi ili kuhakikisha huduma ya matibabu ya dharura kwa umma ya mji huo wakati wa kuenea tena kwa maambukizi ya virusi vya korona. (Xinhua/Zhang Jiansong)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma