

Lugha Nyingine
Kituo cha Matibabu na Huduma ya Kwanza cha Shanghai chahakikisha matibabu ya umma wakati wa maambukizi ya Korona (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2022
![]() |
Mhudumu wa afya akifanya maandalizi ya kumwekea dripu mgonjwa kwenye gari la kubebea wagonjwa la kituo cha matibabu ya dharura cha eneo la Minhang la Shanghai, Mashariki mwa China, Aprili 23, 2022. |
Kituo cha matibabu na huduma ya kwanza cha eneo la Minhang la Shanghai nchini China kimenunua kwa dharura magari ya kubebea wagonjwa, na kimepeleka madaktari wengi zaidi ili kuhakikisha huduma ya matibabu ya dharura kwa umma ya mji huo wakati wa kuenea tena kwa maambukizi ya virusi vya korona. (Xinhua/Zhang Jiansong)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma