Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Guizhou nchini China zahimiza kupanda pilipili ya Sichuan ili kukuza uchumi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 17, 2022
Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Guizhou nchini China zahimiza kupanda pilipili ya Sichuan ili kukuza uchumi
Katika picha hii iliyopigwa kutoka juu, mwanakijiji akivuna pilipili ya Sichuan huko Zhennan, Wilaya ya Wuchuan, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Juni 16, 2022. (Xinhua/Ou Dongqu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha