Kuwait yarejesha Misri mabaki ya kale ya sanaa tano za Kifarao yaliyoingizwa kwa magendo (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 17, 2022
Kuwait yarejesha Misri mabaki ya kale ya sanaa tano za Kifarao yaliyoingizwa kwa magendo
Mabaki ya kale ya sanaa za Kifarao yaliyoingizwa kimagendo yakiaonyeshwa wakati wa makabidhiano huko Kuwait City, Kuwait, Juni 16, 2022. (Picha na Asad/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha