Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2 (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2022
Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2
Msichana akicheza kwenye ua karibu na Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong, Juni 17, 2022.

Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong linatazamiwa kufunguliwa kwa umma tarehe 2, Julai, ambapo yataonesha sanaa zaidi ya 900 zenye thamani kubwa kutoka kwa vitu vilivyohifadhiwa kwenye Kasri la Ufalme la Beijing. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha