Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2 (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2022
Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2
Picha iliyopigwa Juni 17, 2022 ikionesha sanaa itakayoonekana kwenye Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong.

Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong linatazamiwa kufunguliwa kwa umma tarehe 2, Julai, ambapo yataonesha sanaa zaidi ya 900 zenye thamani kubwa kutoka kwa vitu vilivyohifadhiwa kwenye Kasri la Ufalme la Beijing. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha