Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2022
Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2
Picha ya data ikionesha uchukuzi wa sanaa kutoka Kasri la Ufalme la Beijing kufika kwenye Jumba la makumbusho ya kasri la Ufalme la Hong Kong, Kusini mwa China.

Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong linatazamiwa kufunguliwa kwa umma tarehe 2, Julai, ambapo yataonesha sanaa zaidi ya 900 zenye thamani kubwa kutoka kwa vitu vilivyohifadhiwa kwenye Kasri la Ufalme la Beijing. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha