Rais wa Misri azindua majaribio ya reli ya kutumia umeme iliyojengwa na China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2022
Rais wa Misri azindua majaribio ya reli ya kutumia umeme iliyojengwa na China
Rais wa Misri Abdel-Fattah al-Sisi (wa kwanza kulia) na Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly (wa pili kulia) wakipanda treni ya reli inayotumia umeme (LRT) mjini Cairo, Misri, Tarehe 3 Julai 2022. (Ofisi ya Rais wa Misri/Kutumwa kupitia Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha