Rais wa Misri azindua majaribio ya reli ya kutumia umeme iliyojengwa na China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2022
Rais wa Misri azindua majaribio ya reli ya kutumia umeme iliyojengwa na China
Picha iliyopigwa Tarehe 3 Julai 2022 ikionyesha lango la kituo cha Adly Mansour, kituo cha kwanza cha njia ya reli ya kutumia umeme (LRT), huko Cairo, Misri. (Xinhua/Ahmed Gomaa)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha