Panda “Caibang” nchini Japani apate “mpira mkubwa wa barafu” katika siku yake ya nne ya kuzaliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2022
Panda “Caibang” nchini Japani apate “mpira mkubwa wa barafu” katika siku yake ya nne ya kuzaliwa

Agosti 14 kwa saa za huko Shirahama, Wilaya ya Wakayama, Japani, panda wa kike “Caibang” anayeishi huko akisherehekea siku yake ya nne ya kuzaliwa kwenye Bustani ya “Dunia Yenye Matukio ” . (Picha kutoka ICphoto)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha