Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 wafanyika Shanghai, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2022
Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 wafanyika Shanghai, China
Mfanyakazi akitambulisha roboti ya upasuaji wa mifupa kwa maumivu kiasi kwa washiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 (WAIC) huko Shanghai, Mashariki mwa China, Septemba 1, 2022. (Xinhua/Fang Zhe)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha