Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 wafanyika Shanghai, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2022
Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 wafanyika Shanghai, China
Mshiriki akipata hisia za masaji inayofanywa na roboti ya kufanyia masaji kwenye maonesho ya Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 (WAIC) huko Shanghai, Mashariki mwa China, Septemba Mosi, 2022. Ukiwa na kaulimbiu ya "Muunganisho wa Kisasa, Multiverse Isiyo na Mwisho", Mkutano wa WAIC kwa mwaka huu umeanza Alhamisi huko Shanghai, China (Xinhua/Fang Zhe)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha