Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 wafanyika Shanghai, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2022
Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 wafanyika Shanghai, China
Washiriki wakitazama roboti inayotumia teknolojia ya akili bandia ikifanya kazi ya kuchapisha kalligrafu kwenye maonesho ya Mkutano wa Dunia wa Teknolojia za Akili Bandia Mwaka 2022 (WAIC) huko Shanghai, Mashariki mwa China, Septemba 1, 2022. (Xinhua/Fang Zhe)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha