Tembelea kwenye kituo cha kwanza cha majaribio ya kutumia magari yanayojiendesha nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2022
Tembelea kwenye kituo cha kwanza cha majaribio ya kutumia magari yanayojiendesha nchini China
Novemba 1, wafanyakazi wakisimamia na kudhibiti magari yanayojiendesha katika Ofisi ya Usimamizi na udhibiti wa Akili Bandia wa 5G ya Eneo la Maendeleo ya Uchumi na Teknolojia la Beijing.

Eneo la Maendeleo ya Uchumi na Teknolojia la Beijing ni kituo cha kwanza cha majaribio ya kutumia magari yanayojiendesha nchini China. Katika eneo hilo, teksi zinazojiendesha zimeingia kwenye maisha ya kawaida ya watu. (Mpiga picha: Peng Ziyang/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha