Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2023
Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao
Babu akiwa amembeba mjukuu wake baada ya kutoka kwenye Stesheni ya Reli ya Hohhot Mashariki huko Hohhot, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Januari 15, 2023. (Xinhua/Liu Lei)

Pilikapilika za usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China zilianza Januari 7 mwaka huu na Wachina wako njiani mwa kwenda kujumuika pamoja na wapendwa wao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha