Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2023
Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao
Msichana akimkumbatia dada yake aliyekuja kumpokea katika Stesheni ya Reli ya Lanzhou, Mkoa wa Gansu nchini China, Januari 14, 2023. (Xinhua/Cao Yiming)

Pilikapilika za usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China zilianza Januari 7 mwaka huu na Wachina wako njiani mwa kwenda kujumuika pamoja na wapendwa wao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha