Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2023
Watu wakiwa kwenye pilikapilika za Usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa ajili ya kujumuika na familia zao
Familia ikijumuika tena kwenye geti la kutoka Stesheni ya Reli ya Lanzhou, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Januari 16, 2023. (Xinhua/Chen Bin)

Pilikapilika za usafiri wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China zilianza Januari 7 mwaka huu na Wachina wako njiani mwa kwenda kujumuika pamoja na wapendwa wao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha