Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China (12)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China
Katika wakati wa kukaribia sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kazi za kukausha samaki kwa chumvi zimekuwa pilikapilika viijijini , huku wanakijiji wakianika samaki katika siku zenye hali nzuri ya hewa.

Kadiri siku ya Mwaka mpya wa Sungura wa China kwa kalenda ya kilimo ya China inavyokaribia, ndivyo watu wengi wanavyokwenda masokoni na magulioni kununua bidhaa za mwaka mpya wa jadi, ambapo sehemu mbalimbali nchini China zinajaa furaha ya mwaka mpya wa jadi na uhai wa kiuchumi unaofufuka siku hadi siku.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha