Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China
Mkazi wa mjini Xian akichagua mapambo ya sherehe ya mwaka mpya wa jadi.

Kadiri siku ya Mwaka mpya wa Sungura wa China kwa kalenda ya kilimo ya China inavyokaribia, ndivyo watu wengi wanavyokwenda masokoni na magulioni kununua bidhaa za mwaka mpya wa jadi, ambapo sehemu mbalimbali nchini China zinajaa furaha ya mwaka mpya wa jadi na uhai wa kiuchumi unaofufuka siku hadi siku.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha