Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China (13)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China
Mji wa Guiyang wa Mkoa wa Guizhou umeandaa siku za manunuzi ya vitu kwa kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China, hali ya sherehe za mwaka mpya na ustawi wa kiuchumi zikijaa popote pale.

Kadiri siku ya Mwaka mpya wa Sungura wa China kwa kalenda ya kilimo ya China inavyokaribia, ndivyo watu wengi wanavyokwenda masokoni na magulioni kununua bidhaa za mwaka mpya wa jadi, ambapo sehemu mbalimbali nchini China zinajaa furaha ya mwaka mpya wa jadi na uhai wa kiuchumi unaofufuka siku hadi siku.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha