

Lugha Nyingine
Watu watembea na kutazama maua, wajiburudisha katika majira ya mchipuko (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2023
![]() |
Tarehe 19, Februari, watalii walitembea na kucheza katika Eneo la vivutio la Bonde la maua ya Cherry katika kijiji kimoja cha mji wa Luzhou mkoani Sichuan. |
Wakati wa mapema ya majira ya mchipuko , kufuatia hali joto kuongezeka, maua mengi yamechanua katika sehemu nyingi za kusini mwa China. Watu wengi wametoka nyumbani na kwenda nje kutembea na kutazama maua, wanajiburudisha katika hali ya kuchipuka kwa majani na mimea . (Picha na Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma