

Lugha Nyingine
Watu watembea na kutazama maua, wajiburudisha katika majira ya mchipuko (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2023
![]() |
Tarehe 19, Februari, watalii walitembelea na kucheza katika Bustani ya Misitu ya Kitaifa ya Zhangjiajie wakipanda treni ya umeme katika Shilihualang ya mkoa wa Hunan. |
Wakati wa mapema ya majira ya mchipuko , kufuatia hali joto kuongezeka, maua mengi yamechanua katika sehemu nyingi za kusini mwa China. Watu wengi wametoka nyumbani na kwenda nje kutembea na kutazama maua, wanajiburudisha katika hali ya kuchipuka kwa majani na mimea . (Picha na Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma