Watu watembea na kutazama maua, wajiburudisha katika majira ya mchipuko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2023
Watu watembea na kutazama maua, wajiburudisha katika majira ya mchipuko
Tarehe 19, Februari, mtoto mmoja alicheza katika shamba la maua ya cole, wilaya ya Yuqing ya Mkoa wa Guizhou.

Wakati wa mapema ya majira ya mchipuko , kufuatia hali joto kuongezeka, maua mengi yamechanua katika sehemu nyingi za kusini mwa China. Watu wengi wametoka nyumbani na kwenda nje kutembea na kutazama maua, wanajiburudisha katika hali ya kuchipuka kwa majani na mimea . (Picha na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha