Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2023
Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza
Watu wakiwa wamepanda mashua kwenye Mto Dongxi huko Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini-Mashariki mwa China, Aprili 29, 2023. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ilianza jana Jumamosi nchini China. Katika kufurahia likizo hii, watu wengi kote nchini China wamepanga na kufanya safari za kitalii za kwenda kufurahia maeneo ya vivutio vya utalii ya ndani na nje ya China na kufanya utalii kushamiri. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha