Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2023
Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza
Mtoto wa kiume akirusha na kuchezea mdori wa ndege huko Hohhot, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Aprili 29, 2023. (Xinhua/Peng Yuan)

Likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ilianza jana Jumamosi nchini China. Katika kufurahia likizo hii, watu wengi kote nchini China wamepanga na kufanya safari za kitalii za kwenda kufurahia maeneo ya vivutio vya utalii ya ndani na nje ya China na kufanya utalii kushamiri. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha