Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2023
Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza
Picha hii iliyopigwa angani ikionyesha watu wanaotembelea Mji wa Sheyanghu wa Eneo la Baoying, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China, Aprili 29, 2023. (Picha na Shen Dongbing/Xinhua)

Likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ilianza jana Jumamosi nchini China. Katika kufurahia likizo hii, watu wengi kote nchini China wamepanga na kufanya safari za kitalii za kwenda kufurahia maeneo ya vivutio vya utalii ya ndani na nje ya China na kufanya utalii kushamiri. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha