Picha: Wakulima watumia mashine za kilimo zenye teknolojia ya hali ya juu wakati wa kilimo cha majira ya mchipuko katika Mkoa wa Heilongjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 08, 2023
Picha: Wakulima watumia mashine za kilimo zenye teknolojia ya hali ya juu wakati wa kilimo cha majira ya mchipuko katika Mkoa wa Heilongjiang, China
Mashine za kilimo za Kampuni ya mashamba ya Junchuan ya Shirika la Beidahuang zikipanda mbegu na kusawazisha ardhi kwa pamoja. Picha/Li Xuebin

Hivi sasa ni wakati muhimu wa kilimo katika majira ya mchipuko nchini China, na wakulima wa sehemu mbalimbali za Mkoa wa Heilongjiang wa China wana pilikapilika za kulima mashamba.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha