Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2023
Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi
Wanafunzi wakifanya maonesho kwenye tamasha la siku ya watoto ya kimataifa katika Shule ya Msingi ya Mtaa wa Weiyi iliyoko Mji wa Zhengzhou katika Mkoa wa Henan, China, Tarehe 31, Mei.

Wakati Siku ya Watoto ya Kimataifa ikiwadia leo Juni Mosi, watoto wa China wamefurahia kukaribisha siku yao hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali.

Picha zimepigwa na Hu Xingyu/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha