Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2023
Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi
Wanafunzi wakishiriki kwenye shughuli ya hisani ya uuzaji wa vitu katika Shule ya Msingi ya Mtaa wa Binhu, Mji wa Nanning katika Mkoa wa Guangxi, China, Tarehe 31, Mei.

Wakati Siku ya Watoto ya Kimataifa ikiwadia leo Juni Mosi, watoto wa China wamefurahia kukaribisha siku yao hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali.

Picha zimepigwa na Hu Xingyu/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha