Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali za kuvutia zafanyika nchini China kukaribisha Siku ya Watoto ya Kimataifa, Juni Mosi (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2023
Wanafunzi wakionesha na kujaribu kutumia darubini za kuchunguza anga zilizoundwa na wao wenyewe katika shughuli ya sayansi na teknolojia ya shule ya msingi ya eneo la Dongcheng la Beijing, China, Tarehe 31, Mei. |
Wakati Siku ya Watoto ya Kimataifa ikiwadia leo Juni Mosi, watoto wa China wamefurahia kukaribisha siku yao hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali.
Picha zimepigwa na Hu Xingyu/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma