Reli ya mwendo wa kasi ya Guiyang-Nanning nchini China yaanza rasmi majaribio ya uendeshaji (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2023
Reli ya mwendo wa kasi ya Guiyang-Nanning nchini China yaanza rasmi majaribio ya uendeshaji
Treni ya majaribio nambari 55311 ikiondoka kutoka Stesheni ya Guiyang Kaskazini huko Guiyang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Juni 26, 2023. (Xinhua/Liu Xu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha