Reli ya mwendo wa kasi ya Guiyang-Nanning nchini China yaanza rasmi majaribio ya uendeshaji (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2023
Reli ya mwendo wa kasi ya Guiyang-Nanning nchini China yaanza rasmi majaribio ya uendeshaji
Treni ya majaribio nambari 55311 ikipita kwenye daraja kubwa katika Eneo la Longli lililoko Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Juni 26, 2023. (Long Jianrui/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha