Watalii waenda Chengdu kufurahia maisha ya kustarehesha (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2023
Watalii waenda Chengdu kufurahia maisha ya kustarehesha
Mtalii akijaribu njia ya kipekee ya kusafisha masikio kwenye kichochoro cha Kuanzhai huko Chengdu, Mkoa wa Sichuan wa China Agosti 1, 2023. (Picha ilipigwa na Qu Honglun/Chinanews)

Wakati wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya majira ya joto ya FISU, watalii wamekwenda kwenye mji wa Chengdu wakifurahia maisha ya kustarehesha huko.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha