Watalii waenda Chengdu kufurahia maisha ya kustarehesha

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2023
Watalii waenda Chengdu kufurahia maisha ya kustarehesha
Tarehe 1, Agosti, 2023, watalii wakipiga picha pamoja na sanamu ya panda kwenye paa la jengo la IFS lililoko kiini cha Mji wa Chengdu wa Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China. (Picha ilipigwa na Qu Honglun/Chinanews)

Wakati wa Michezo ya 31 ya Vyuo Vikuu ya Dunia ya majira ya joto ya FISU, watalii wamekwenda kwenye mji wa Chengdu wakifurahia maisha ya kustarehesha huko.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha