Kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yafunguliwa Guangzhou (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2023
Kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yafunguliwa Guangzhou
Washiriki wakijadiliana kuhusu biashara kwenye kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China (Canton Fair) huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 31, 2023. (Xinhua/Lu Hanxin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha