Kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yafunguliwa Guangzhou (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2023
Kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yafunguliwa Guangzhou
Wanunuzi kutoka nje ya China wakijadiliana kuhusu biashara kwenye banda la nguo katika kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China (Canton Fair) huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 31, 2023. (Xinhua/Deng Hua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha