Kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yafunguliwa Guangzhou
 |
Mnunuzi kutoka nje ya China akitembelea banda la nguo kwenye kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China (Canton Fair) huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 31, 2023. Kipindi cha 3 cha Maonyesho ya 134 ya Kimataifa ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Maonyesho ya Canton, kimefunguliwa katika Mji wa Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China siku ya Jumanne na itaendelea hadi Novemba 4. Maonyesho hayo yanachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 515,000. (Xinhua/Deng Hua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)