Reli ya Mwendo kasi ya HSR nchini Indonesia yasafirisha abiria zaidi ya 1,000,000 (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2023
Reli ya Mwendo kasi ya HSR nchini Indonesia yasafirisha abiria zaidi ya 1,000,000
Abiria wakipiga picha na treni kasi ya reli ya mwendo kasi ya Jakarta-Bandung kwenye jukwaa la Kituo cha Treni cha Halim huko Jakarta, Indonesia, Desemba 25, 2023.

Tarehe 25 Kampuni ya China State Railway ilisema kuwa hadi Desemba 24, reli ya mwendo kasi ya Jakarta-Bandung (HSR) nchini Indonesia ambayo ni mradi wa ushirikiano wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kati ya China na Indonesia imesafirisha abiria zaidi ya 1,000,000. (Picha na Xu Qin/Xinhua )

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha