

Lugha Nyingine
Reli ya Mwendo kasi ya HSR nchini Indonesia yasafirisha abiria zaidi ya 1,000,000 (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2023
Tarehe 25 Kampuni ya China State Railway ilisema kuwa hadi Desemba 24, reli ya mwendo kasi ya Jakarta-Bandung (HSR) nchini Indonesia ambayo ni mradi wa ushirikiano wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kati ya China na Indonesia imesafirisha abiria zaidi ya 1,000,000. (Picha na Xu Qin/Xinhua )
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma