Mandhari ya Mlima Wawu katika Mkoa wa Sichuan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2023
Mandhari ya Mlima Wawu katika Mkoa wa Sichuan, China
Picha hii iliyopigwa tarehe 24 Desemba 2023 inaonyesha watalii wakitembelea kwa raha kwenye sehemu ya Mlima Wawu katika Wilaya ya Hongya, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Jiang Hongjing)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha