Wataalam kutoka nje wachangia juhudi za kustawisha Kaskazini Mashariki mwa China (10)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Wataalam kutoka nje wachangia juhudi za kustawisha Kaskazini Mashariki mwa China
Erich Kaisserseder kutoka Austria (kulia), meneja mkuu wa Hoteli ya Conrad Tawi la Shenyang, akizungumza na mwenzake kwenye hoteli mjini Shenyang, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China, Desemba 19, 2023. (Xinhua/Pan Yulong)

Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Kaskazini-Mashariki mwa China limetekeleza kikamilifu mkakati wa maendeleo yanayotegemea uvumbuzi. Marafiki wengi kutoka nchi za nje wameona fursa na kuamua kuishi hapa ili kutimiza ndoto zao. Wakiishi katika eneo hilo, wameshuhudia maendeleo ya haraka ya kiuchumi na kijamii na wakati huo huo wamechangia kwa juhudi zao wenyewe katika ustawishaji wa pande zote wa Kaskazini Mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha