Wataalam kutoka nje wachangia juhudi za kustawisha Kaskazini Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Wataalam kutoka nje wachangia juhudi za kustawisha Kaskazini Mashariki mwa China
Wahandisi wa Ujerumani Sascha Schuerrer (Wa tatu kushoto) na mkewe Johanna Garzon-Schuerrer (wa nne kushoto) wakifanya mkutano kwenye chumba cha mikutano cha Kampuni ya magari yanayotumia nishati mpya ya Audi FAW mjini Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini-Mashariki mwa China, Novemba 24, 2023. (Xinhua/Yan Linyun)

Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Kaskazini-Mashariki mwa China limetekeleza kikamilifu mkakati wa maendeleo yanayotegemea uvumbuzi. Marafiki wengi kutoka nchi za nje wameona fursa na kuamua kuishi hapa ili kutimiza ndoto zao. Wakiishi katika eneo hilo, wameshuhudia maendeleo ya haraka ya kiuchumi na kijamii na wakati huo huo wamechangia kwa juhudi zao wenyewe katika ustawishaji wa pande zote wa Kaskazini Mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha