Wataalam kutoka nje wachangia juhudi za kustawisha Kaskazini Mashariki mwa China (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Wataalam kutoka nje wachangia juhudi za kustawisha Kaskazini Mashariki mwa China
Evgenia, mwalimu kutoka Russia wa Chuo Kikuu cha Shenyang, akitazama mtoto wake akifanya mazoezi ya Wushu ya China Mjini Shenyang katika Mkoa wa Liaoning, Kaskazini-Mashariki wa China, Desemba 23, 2023. (Xinhua/Pan Yulong)

Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Kaskazini-Mashariki mwa China limetekeleza kikamilifu mkakati wa maendeleo yanayotegemea uvumbuzi. Marafiki wengi kutoka nchi za nje wameona fursa na kuamua kuishi hapa ili kutimiza ndoto zao. Wakiishi katika eneo hilo, wameshuhudia maendeleo ya haraka ya kiuchumi na kijamii na wakati huo huo wamechangia kwa juhudi zao wenyewe katika ustawishaji wa pande zote wa Kaskazini Mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha