Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2024
Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya
Treni ya huduma ya usafirishaji bidhaa za magari ya muundo wa muunganisho wa reli na bahari ikiingia kwenye gati la magari la Bandari ya Yantai mkoani Shandong, China, tarehe 2, Januari. (Picha na Tang Ke/Xinhua)

Wakati mwaka mpya unapoanza, bandari mbalimbali nchini China ziko katika pilikapilika za kuingia na kutoka kwa meli na usafirishaji wa makontena.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha