Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2024
Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya
Mfanyakazi akisimamia kifaa kupakia na kupakua makontena kwenye Gati la Bandari ya Chishui ya Eneo la Kiuchumi la Wuzhou Lingang katika Mji wa Wuzhou, Mkoa wa Guangxi, China, tarehe 2, Januari. (Picha na He Huawen/Xinhua)

Wakati mwaka mpya unapoanza, bandari mbalimbali nchini China ziko katika pilikapilika za kuingia na kutoka kwa meli na usafirishaji wa makontena.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha