Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2024
Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya
Magari yaliyozalishwa China yakisubiri kupakiwa kwenye meli ili kusafirishwa kwenda nchi za nje katika gati la makontena la Xindongfang la Bandari ya Lianyungang ya China, Tarehe 3, Januari. (Picha na Geng Yuhe/Xinhua)

Wakati mwaka mpya unapoanza, bandari mbalimbali nchini China ziko katika pilikapilika za kuingia na kutoka kwa meli na usafirishaji wa makontena.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha