

Lugha Nyingine
Watu wakifurahia likizo ya Siku ya Wafanyakazi sehemu mbalimbali za China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2024
![]() |
Watalii wakitembelea eneo la Mlima Mingsha na Chemchemi ya Hilali katika Mji wa Dunhuang, Mkoa wa Gansu, Kaskazini Magharibi mwa China, Mei 1, 2024. (Picha na Zhang Xiaoliang/Xinhua) |
Watu katika sehemu mbalimbali za China wanapumzika katika likizo ya Siku ya Wafanyakazi. Likizo hiyo kwa China itachukua siku tano ambapo imeanza jana Jumatano Mei 1 na imepangwa kuendelea hadi siku ya Jumapili, Mei 5.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma