Watu wakifurahia likizo ya Siku ya Wafanyakazi sehemu mbalimbali za China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2024
Watu wakifurahia likizo ya Siku ya Wafanyakazi sehemu mbalimbali za China
Watalii wakitembelea eneo la kibiashara la Qianmen mjini Beijing, China, Mei 1, 2024. (Xinhua/Li Xin)

Watu katika sehemu mbalimbali za China wanapumzika katika likizo ya Siku ya Wafanyakazi. Likizo hiyo kwa China itachukua siku tano ambapo imeanza jana Jumatano Mei 1 na imepangwa kuendelea hadi siku ya Jumapili, Mei 5.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha