Watu wakifurahia likizo ya Siku ya Wafanyakazi sehemu mbalimbali za China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2024
Watu wakifurahia likizo ya Siku ya Wafanyakazi sehemu mbalimbali za China
Watalii wakiteleza kwenye maji wakiwa kwenye chombo cha kuteleza majini katika Kijiji cha Zhuquan cha Wilaya ya Yinan, Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Mei 1, 2024. (Picha na Wang Yanbing/Xinhua)

Watu katika sehemu mbalimbali za China wanapumzika katika likizo ya Siku ya Wafanyakazi. Likizo hiyo kwa China itachukua siku tano ambapo imeanza jana Jumatano Mei 1 na imepangwa kuendelea hadi siku ya Jumapili, Mei 5.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha